SAFARI UTALII VIVUTIO TANZANIA

Tazama Ramani

VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA

awe (222 of 459) (1)
SERENGETI

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (Serengeti National Park) Wilayani Serengeti Mkoani Mara Katika Ukanda Wa Ziwa Victoria (Lake Victoria Zone) Mwa Jamhuri Ya Muungano Ya Tanzania

NGORONGORO

Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro’’ (Ngorongoro Conservation Area Authority) yenyewe ni eneo ambalo ni ‘’Hifadhi Mseto’’ (Multiple Land Use Area).

awe (149 of 266)
ZIWA MANYARA

Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara imetokana na jina au neno lililotoholewa kutoka katika lugha ya kabila la Wamaasai lenye kumaanisha mmea wa asili wa mti ujulikanao katika lugha ya Kiswahili.

IMG_6130
TARANGIRE

Mto Tarangire hutiririsha maji yake ya mto kuelekea uelekeo wa Ziwa Burungi. Ikumbukwe na ieleweke ya kwamba vyanzo vinginevyo vya habari na maelezo vinaelezea ya kwamba chimbuko halisia ya neno au jina ‘Tarangire’.

ARUSHA

Hifadhi ya Taifa ya Arusha (Wilayani Arumeru) pamoja na Mkoa wa Arusha kwa ujumla wake umepata majina yake kiasilia kutoka katika kabila la Waarusha (Wamaasai ). Makabila asilia yapatikanayo Arusha ni wameru

landscape-of-snowy-mount-kilimanjaro-on-the-horizo-2026-01-07-07-18-35-utc
MLIMA KILIMANJARO

Mlima Kilimanjaro ni ya kwamba neno au jina “Kilimanjaro” ni neno asilia kabisa la kabila la Wachagga ikimaanisha “Kilema Kyaro”. ikimaanisha Mlima. “Kyaro”, inamaanisha Safari. SHIRA katika futi 12,936 au mita 3,962.

happy-friends-enjoying-in-vehicle-during-safari-vacation.jpg
MKOMANZI

Hifadhi Ya Taifa Mkomazi (Kilimanjaro & Tanga) Pamoja Na Historia Yake; Yapo maelezo mengi kutoka vyanzo vingi vya vitabu na simulizi za wenyeji asilia wa jamii ya kabila la Wapare ambazo zimeelezea kuhusiana na maana halisi ya jina “Mkomazi” na asili yake.

NGO (63 of 442)
KATAVI

Hifadhi Halisia Ya Kiafrika Ya Taifa Katavi - Mkoani Katavi (Nyanda Za Juu Kusini/ Southern Highlands); Hifadhi ya Taifa ya Katavi ipatikanayo kijiografia Mkoani Katavi kimsingi mipaka yake inapatikana katika Wilaya tatu (3) ambazo ni pamoja na Wilaya ya Mpanda, Tanganyika na Mlele

RUBONDO

Hifadhi ya Taifa ya Visiwa vya Rubondo ni hifadhi pekee nchini Tanzania na barani Afrika ipatikanayo katika makazi ya maji ya ziwa Victoria. Kijiografia hifadhi hii inapatikana katika ziwa Victoria, Kaskazini mwa Ghuba ya Emini Mkoani Mwanza visiwa vya ‘’Mizo’’, ‘’Nyamitundu’’.

GOMBE

Hifadhi ya Taifa ya GOMBE ni hifadhi iliyoanzishwa maalumu kwa ajili ya tafiti za Kisayansi hususani katika kuwalinda na kuwahifadhi Wanyamapori adimu wa jamii ya Sokwe mtu (chimpanzees) ambao wapo hatarini kutoweka duniani.

MILIMA YA UDZUNGWA

Hifadhi Ya Taifa Ya Milima Ya Udzungwa; Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa ipatikanayo kijiografia mkoani Morogoro (asilimia 20) katika wilaya ya Kilombero na mkoani Iringa katika wilaya ya Kilolo, ilianzishwa rasmi mnamo mwaka wa 1992.

KITULO

Hifadhi Ya Taifa Kitulo (Bustani Ya Mungu) Mkoani Njombe Na Mkoani Mbeya (Nyanda Za Juu Kusini) Mwa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania; Hifadhi ya Taifa Kitulo (Bustani Ya Mungu) ipatikanayo kijiografia katika Nyanda za Juu Kusin Mkoani Mbeya

RUAHUA

Ni Hifadhi pekee nchini Tanzania na Afrika ya Mashariki yenye fukwe za bahari na inayotazamana na Bahari ya Hindi. Vilevile ni Hifadhi pekee ambapo fukwe za bahari zake zinakutana na uoto wa asili wa nchi kavu (kwa maana nyingine eneo pekee ambapo nyika na bahari hukutana).

SAADANI

Hifadhi ya Taifa ya Saadani Mkoani Pwani pamoja na Tanga ipatikanayo katika Pwani ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na AFRIKA MASHARIKI imebeba jina la kijiji cha SAADANI ambacho ni cha kihistoria kilichoanza kama kambi ya uvuvi kuanzia katika karne ya 19.

MILIMA YA MAHALE

Hifadhi Ya Taifa Ya Milima Ya Mahale Mkoani Kigoma Magharibi Mwa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania; Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale inapatikana kijiografia mkoani kigoma katika upande wa magharibi mwa Jamhuri yaTanzania umbali wa kilometa 150 Kusini mwa kigoma

KISIWA CHA SAA NANE

Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saa Nane’ kinachopatikana katika ‘Ziwa Victoria katika ‘Mkoa wa Mwanza’ kimetokana na raia mtanzania mwenyeji asilia wa eneo hili ambaye alikuwa mvuvi na mmiliki wa kisiwa hiki aliyejulikana kwa majina kama ‘Mzee Saa Nane Chawandi’

MIKUMI

Ni mojawapo kati ya ‘’Hifadhi za Taifa’’ (National Parks) ‘’nchini kwetu Tanzania’’ zinazopatikana kijiografia katika ukanda wa upande wa ‘’Mashariki Mwa Nchi’’ (Eastern Zone).Ni sawa na umbali wa takribani kilomita 295 kutokea katika upande wa Magharibi mwa Jiji la Dar es salaam

IBANDA – KYERWA

Hifadhi hii ya Taifa ya Ibanda - Kyerwa (Ibanda - Kyerwa National Park) ilitangazwa rasmi kuwa ‘’Hifadhi ya Taifa’’ (National Park) kupitia kwa tangazo la Serikali la tarehe 5 Julai Mwaka wa 2019 Namba 509 ikiwa na ukubwa wa eneo la ardhi yenye kuwa na kilomita za mraba takribani 294.